MY PROJECT SITE YA MBEZI SALASALA : CONMIX PAINTING DECORATION & DESIGNING (RANGI YA NJE).

I thank God kwa kuniwezesha kuifanikisha project hii ya Exterior painting decoration & designing at Mbezi Salasala. I also thank you my client kwa kuniamini na kunikabidhi kazi hii. Mbarikiwe sana.

Ilikuwa ni ya rangi ya nje ya nyumba, na design ya rangi niliyoipaka ni aina ya Conmix; pamoja na rangi nyeupe ambayo nliipaka kwenye nguzo za nyumba, decoration ya madirisha na fisherboard.

Conmix ndo design ya rangi ya kisasa ambayo inakupa guarantee ya lifetime, haitoki wala haibanduki miaka 100! Pia hauhitaji kupiga kwanza skimming (white cement) kama kwenye rangi za kawaida, bali yenyewe unaweza kuipaka baada tu ya kupiga plasta. Na sio tu hilo, bali pia inapendeza sana.

Rangi hii ya Conmix inapatikana Fancy Home Decor kwa bei nafuu, pia utapata na huduma ya kufanyiwa designing na kupakiwa rangi hii kwa garama nafuu pia. 

We provide quality Interior & Exterior designing service.
Call us now or Wassup # 0712 023102  
Pia tunapatikana Instagram, Telegram & Viber. Karibuni sana...


Muonekano wa mbele...zitakuja kuwekwa tiles kwenye hizo ngazi na kwenye skating zitawekwa wall tiles.
At the backyard...
Fundi akipaka Conmix...

0 komentar:

Post a Comment

Blog Archive