INTERIOR DESIGNING PROJECT SITE YA SALASALA (COLOUR PAINTING, WALLPAPER, CURTAIN POLES & HOLDBACKS)

Kutoka kwa client wangu wa Mbezi Salasala pia nilipata project ya Interior designing and decoration. 
Nilifanya Paint decoration & designing kwa: sebule, diningroom, corridor, masterbedroom, girls and boys room, Library room, dressing room na store. Pia nili design na kufunga mabomba ya mapazia( Curtain rails, poles & holdbacks designing).
Kabla hatujaanza kupaka rangi FancyHomeDecor ilianza kwanza na kupiga skimming mikono miwili nyumba yote kwenye gypsum ceiling na ukutani. Baada ya hapo ulipigwa msasa ikifuatiwa na Sadobinder.

Karibuni sand Fancy Home Decor kupata huduma nzuri ya Interior designing & decoration. 
Call us now or Wassup 0712 023102

Paints nilizopaka, design ya wallpaper na Curtain poles & holdbacks Ilikuwa hivii...

Hapa ni sebuleni...kwa juu kwenye gypsum ceiling nili design na kupaka red colour...na ukutani nikapaka neutral colours
Fundi akiendelea na kazi ya kupaka rangi kwenye mduara wa gypsum ceiling dining room...
Hapa ni dining room...kwenye mduara wa gypsum ceiling kwa juu nilipaka red paint...
Hapa ni Corridor... niliweka rangi hii ili kuleta mwanga kwenye corridor...
Girls room..
Boys room...
  
Masterbedroom nilipaka rangi hii pamoja na kufunga Curtain poles & holdbacks


Huu ni ukuta wa TV sebuleni, niliweka Wallpaper ya black & white ili ku match na red paint niliyopaka kwenye gypsum ceiling pamoja na rangi nilizopaka ukutani..
 
Black & white Wallpaper matched with the red & white curtains and red paint on gypsum ceiling...


 

0 komentar:

Post a Comment

Blog Archive