Namshkuru Mungu kwa kuniwezesha kunifanikisha Project hii...vilienda kwa wadau tofauti. Mbarikiwe sana wadau!!
![]() |
Bathroom/ Toilet mirror...delivered kwa mdau wa Kijitonyama. Price: 130,000/= |
![]() |
Bathroom Corner shelf...delivered kwa mdau wa Sinza. Price: 160,000/= |
![]() | |||
Corner shelf Sebuleni / Dining room.... |
![]() |
Kabati la nguo...designed and delivered kwa mdau wa Goba. Price: 300,000/= |
Tunaendelea kupokea oda kwa designs hizi na nyingine yoyote unayoitaka...
To place your order Call: 0712 023102
0 komentar:
Post a Comment