All available by order at a reasonable price...
Call us now: +255 0712 023102
Hii ni stand ya kupanga viatu kwa chini na mapochi kwa juu...Its a 2-in-1 design. Faida yake inasaidia kukupunguzia garama wewe badala ya kutengeneza ya viatu pekeyake na ya mapochi pekeyake, unatengeneza moja unaweka viatu na mapochi hapohapo. Pia ina save space! |
Kwenye picha hii ndo inaonekana vizuri zaidi...kwa juu kuna "hooks" za kushikilia mapochi na kwa chini ni ngazi za kupangia viatu. Price: 150,000/= |
Hii stand inakaa jikoni...ni ya kuwekea nazi, viazi, vitunguu, ndizi, nyanya,mihogo, etc etc etc... Price: 120,000/= |
0 komentar:
Post a Comment