Karibuni wote kuweka oda...
Call: 0712 023102
![]() |
6 seaters dining table - Juu imetengenezwa kwa mbao ya Mninga na chini nikaweka kioo cha tinted...Bei: 1,200,000/= |
![]() |
![]() |
Design ya meza bila muonekano wa viti ni hii... |
![]() |
Candle holder - 80,000/= |
![]() |
Curtain holdbacks... |
![]() | ||
Huu ni mlango wa kuingia corridor kutoka sebuleni...hapa nako nilifunga curtain holdbacks. Hiyo ya pembeni ni stand ya mapochi, nayo pia nilimtengenezea.. |
![]() |
Stand ya kuwekea mapochi / handbags - Bei: 150,000/= |
![]() |
Floor magazine rack... Bei: 95,000/= |
![]() |
Kitchen shelf...Bei: 110,000/= |
Asanteh sana mdau wa Kimara...ubarikiwe sana
0 komentar:
Post a Comment