MY PROJECT: SITE YA BOKO...SEPTEMBER 2013


Fancy Home Decor ilipokea oda ya ku design furnitures za chuma na mbao kutoka kwa mdau wa Boko. Ilikuwa ni vitanda viwili... double deka na cha kawaida size 5x6, Dressing table, Dining table, Coffee table, Bathroom shelf na Kabati la nguo. 

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuifanikisha project hii...


Unaweza kuweka oda yako kupitia namba: +255 0712 023102

Email: fancyhomez@gmail.com

Karibuni sana...


Dining table with 6 Zebra print chairs...ina vioo viwili kwa juu na chini!

Unaweza kuweka na Table runner kwa juu...Price: 880,000/=


Coffee table yenye kioo cha tinted...Price: 250,000/=


Size 5x6...Price: 420,000/=


Dressing table and a zebra print stool...Price: 350,000/= complete


Double deka yenye ngazi mbili...ikiwa bado haijawekwa godoro! Price: 780,000/=


Bathroom shelf ....Price: 120,000/=

Nakushkuru sana mdau kwa kunikabidhi kazi hii na kwa kuipenda pia...ubarikiwe sana sanaa!!




0 komentar:

Post a Comment

Blog Archive