WALLPAPERS.. WALLPAPERS.. WALLPAPERS!!...AVAILABLE @ FANCY HOME DECOR

Fancy Home Decor pia unahusika na kuuza na kubandika  "WALLPAPERS"...

Unaweza kuweka wallpaper kwenye eneo lako la TV  na ikapendeza sanaa!!
..na sio tu kwenye eneo la TV, bali hata chumbani, diningroom au corridor...km unavyopenda wewe!

Bei ya roller moja ni: 150,000/=

Ukitaka tuje na kukubandikia bei itategemea na size ya ukuta wako...tunakuja kupima bure na kukubandikia km inavoonekana hapa!!!

Zinapatikana ktk rangi mbalimbali...Wahi sasa!!
Contact: 0712 023102
 
Zinapatikana pia ktk rangi mbalimbali...
 

0 komentar:

Post a Comment

Blog Archive