Diva & prezzoo
Kwa mara ya kwanza, Diva ameamua kufunguka kuhusu KIBUTI alichopewa na jamaa yake wa Kenya maarufu kwa Jina la Prezzo ambaye alikuwa amemwanika mitandaoni..
Bahati Mbaya hali ya mambo haikuwa nzuri...Prezzo alifanya yake na kisha kumtenda dada wa watu....Akiwa bado angali na machozi ya ROHONI, Diva ameamua kutoa onyo kali kwa mashabiki wake na kuwataka kutolitaja tena jina la Prezzo kwa kuwa hahitaji hata kulisikia.
HUU NI UJUMBE WAKE:
"Hey Guys Pliz Kwa Heshima Zote na taadhima naomba msiwe mna comment about Huddah Or Prezzo in My Page.
That Chapter is closed muda mrefu sana and matter of fact Dont need Drama. My Life seems to be Naturally .
I never have plans for where it’s going to take me. Huwa nafuta na kujisikia vibaya nikiona mnaendelea kucomment about Prezzo.
Well , The truth ni Kuwa My heart Belonged to another man and The Tattoo of his name katika Mkono wangu itakuwa removed yes …. working on that.
I Respect him and he is such a good Person but pliz enough with his name on My Page….hope mmenielewa. love you all" Says Loveness Diva
0 komentar:
Post a Comment