MILANGO YA MBELE YA NYUMBA MBAO YA MNINGA, MKONGO...MAIN ENTRANCE HOME DOORS DESIGNS AVAILABLE BY ORDER!!

Habarini wadau wa FancyHomeDecor, mniwie radhi kwa kuwa kimya kwa mda kidogo ni kutokana majukumu mbalimbali yaliyokuwa yamenitinga...Sasa nimerudi tena na safari hii ningependa kuwatangazia kuwa nitakuwa napokea oda za ku design milango ya nyumba ya mbao aina yoyote, kwanzia mninga, mkongo etc...kwa design yoyote na katika finishing nzuri.

Kwa leo hizi ni baadhi ya design ambazo unaweza kutengenezewa na FancyHomeDecor.

KUWEKA ODA CALL: 0712 023102
KARIBUNI WOTE...



























Nitaendelea kuwaletea design nyingine mbalimbali nzuri na kwa bei nafuu....

You are most welcome...

3 komentar:

  1. Ungweka na bei ingekuwa vizuri ili mtu afanye maamuzi kabisa

    ReplyDelete
  2. Tuacheni uswahilii weka kazi yako ulioifanya kwa mikono yako sio picha zakudownload weka picha halisi ya ulichotengeneza

    ReplyDelete
  3. Milango Ya Mbele Ya Nyumba Mbao Ya Mninga, Mkongo...Main Entrance Home Doors Designs Available By Order!! >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Milango Ya Mbele Ya Nyumba Mbao Ya Mninga, Mkongo...Main Entrance Home Doors Designs Available By Order!! >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Milango Ya Mbele Ya Nyumba Mbao Ya Mninga, Mkongo...Main Entrance Home Doors Designs Available By Order!! >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK

    ReplyDelete

Blog Archive