PROJECT YA MAPAZIA NA BOMBA ZAKE: NILI DESIGN NA KUFUNGA MAPAZIA YA SEBULENI....SITE YA TEGETA

Hii ni moja ya projects za mapazia na " Curtain rails, poles & holdbacks" ambazo zimefanywa na Fancy Home Decor...
Fancy Home Decor ilifunga bomba za pazia (Curtain rods, poles & holdbacks) Kwa madirisha 9 ya sebuleni, vyumbani na jikoni. Fancy Home Decor pia ilifunga na mapazia...hizo pazia zito za mbele pamoja na "shear curtain" ambalo ni pazia jepesi la nyuma.

Kwa mahitaji ya mapazia ya nyumbani karibu Fancy Home Decor...tuna design mbalimbali nzuri za mapazia na kwa bei nzuri... Tunakushonea vile unataka na kuja kukufungia pia.  

Contact: +255 0712 023102



Tulichagua design hii ya pazia na rangi hizo ili ku match na furnitures zilizokwepo sebuleni, carpet na rangi ya ukuta pia.

0 komentar:

Post a Comment

Blog Archive