Tunapokea oda na za vitanda vyenye bomba za neti kama mnavyoona hapo chini....Na ukiangalia kwenye madirisha pia utaona bomba za kushikia pazia...Curtain Poles, rods & Holdbacks...hizo pia zilifungwa na Fancy Home Decor.....ni moja ya kazi zangu.
Vyote vinapatikana kwa oda na kwa bei nzuri na nafuu....
To order please call +255 0712 023102
Karibuni..
Ni kitanda cha 5x6 size...hapa bado hakijawekwa godoro. |
0 komentar:
Post a Comment