Inapendezaa...
![]() |
| Hii ndo Curtain pole design tuliyoiweka...ukiweka double pamoja na holdbacks bei ni 45,000 na kwa madirisha makubwa bei ni 50,000. Garama za kusafirisha na kuja kuzifunga ni bure!! |
![]() |
| Hii ndo Curtain holdback design tuliyoiweka... |
![]() |
| Hapa ni Living room...madirisha makubwa na madogo yote yamependeza! |
![]() |
| Haya ni madirisha ya master bedroom... |
![]() |
| Haya ni madirisha ya jikoni... |
Hongera sana mdau...Mungu akubariki sana!!








0 komentar:
Post a Comment