MY PROJECT: METAL HANGER & CD RACK DESIGNING - PLACE YOUR ORDER NOW
Nilipokea oda ya ku design CD rack na hanger ya mapochi kutoka kwa mdau Iringa....Ndani ya siku 3 u ilikuwa tayari na tukasafirisha mzigo hadi huko mkoani. Karibu nawewe uweke oda yako...hata wewe uliye mkoani usisite kutoa oda maana @ Fancy Home Decor tunakufikishia popote ulipo!!
To place your order contact: 0712 023102
I designed this CD rack...I used metal and wood and as you see it looks very beautiful!! Price: 200,000/=
0 komentar:
Post a Comment